kwamba simu na protocol vinahusiana right?Wapendwa habari?
Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba.
Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake.
Kilichonishangaza ni kuona mara nyingi Mke wa Mh. Raisi akiwa busy na Simu.
Watu wa protocol naomba kuuliza, Je hili linaruhusiwa?.
Halafu ukute kufurushi chenyewe kinakaribia ku expire.Kama ana kifurushi inaruhusiwa
Angepaswa kumshika nani badala ya mumewe?Huyu maza alishamshika sana Prezident. π
Kamshika wapi?Huyu maza alishamshika sana Prezident. π
Nasikia na mascania haya ya blue coast ni mwambaMkuu hyo mpemba Yuko busy na miamala ya biashara za familia wala isikushangaze chezea mapato yanayoingia kwenye makampuni kama Azam na Tropical Ile vifaa vya Umeme unafanya masihala nini Bado mihela ya Consolidated fund ya Ikulu wewe kausha watu wneemeke Kama hujapasi nguo zako za kijiwe cha kuganga njaa pasi ujiandae na Blue Monday