Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

Milonji

Senior Member
May 26, 2022
166
510
Wapendwa habari?

Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba.

Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake.

Kilichonishangaza ni kuona mara nyingi Mke wa Mh. Raisi akiwa busy na Simu.

Watu wa protocol naomba kuuliza, Je hili linaruhusiwa?.
 
kwamba simu na protocol vinahusiana right?

au unaleta experience ya North Korea kwa Kim Jong-Un, right?🐒
 
Mkuu hyo mpemba Yuko busy na miamala ya biashara za familia wala isikushangaze chezea mapato yanayoingia kwenye makampuni kama Azam na Tropical Ile vifaa vya Umeme unafanya masihala nini Bado mihela ya Consolidated fund ya Ikulu wewe kausha watu wneemeke Kama hujapasi nguo zako za kijiwe cha kuganga njaa pasi ujiandae na Blue Monday
 
Nasikia na mascania haya ya blue coast ni mwamba
 
Back
Top Bottom