amewadhalilisha Maaskofu! albdili ya mashehe iko juu yakeMrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
IKILIZA CLIP HII
View: https://youtu.be/PofbuCmfEOs
Hahahamewadhalilisha Maaskofu! albdili ya mashehe iko juu yake
na hilo ndilo nililomaanisha. Maaskofu ni watumishi wa kweli wa Mungu, si wa kudhihaki, tena mbele ya kadamnasi!Hawajifunzi kwa yaliyopita.
Unaweza kuwadhihaki watumishi wala sadaka na matapeli wa injili lakini ukiwadhihaki watumishi wa Kweli wa Mungu mwisho wako unakuwa mfupi na hauwezi kuwa salama.
Kwani aliwataja?amewadhalilisha Maaskofu! albdili ya mashehe iko juu yake
Uganga wale utamcostMrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji
Ngoja tuone huu Mpambano kati ya Mungu wa Kweli na Huyo wa kwao.na hilo ndilo nililomaanisha. Maaskofu ni watumishi wa kweli wa Mungu, si wa kudhihaki, tena mbele ya kadamnasi!
Mtagawana laana, wewe mtetee, tetea uovu!Kwani aliwataja?
Msanii ambaye kughani kwake ni vile vile habadiliki zaidi ya kubadili verse tu, usitegemee kuwa anajitambua.Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
JIBU swali 😂😂Mtagawana laana, wewe mtetee, tetea uovu!