Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,042
- 237,431
Mrisho mpoto ametudhalilisha wasaniiMsanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC...
Wewe ulijua kuwa siku hiyo kuna tukio la uuzaji nchi Ikulu?Angetumie Intel Katoliki Vatikaniki.....
na siyo anaanza kulia lia au angesepa baada ya kung'amua ni changa la macho. Sasa hivi ni kama analia lia baada ya kuposwa na mzazi kala mahali. Kilichobakia ni kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwa mume.
Mungu ana njia njema zaidi.Angeondoka kwa ghafla ingetafsiriwa vinginevyo.Afadhali aliendelea kuwepo na tumeyajua hadi ya uandishi wa kadi ya mwaliko wa hafla.Angetumie Intel Katoliki Vatikaniki.....
na siyo anaanza kulia lia au angesepa baada ya kung'amua ni changa la macho. Sasa hivi ni kama analia lia baada ya kuposwa na mzazi kala mahali. Kilichobakia ni kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwa mume.
Kwenye keyboard vijana wa tanzania huwaga ni machachari sana aisee.Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Ambazo zilitoka wapi?Mbona.Sarungi X alisema?
Padiri Kitima alikuwa anahesabu sadaka
Kwa ground tunajua walamba lips hamuwezi kuchinja hata kuku kwahiyo lazima ushangaeKwenye keyboard vijana wa tanzania huwaga ni machachari sana aisee.
Padiri Kitima naamini anaishi Dar, sasa lazima alipata mwaliko mapema, halafu kasafiri from Dar to Dodoma kwa ndege saa moja hivi na kwa gari ni kama Km 470 bado hajui anaitiwa nini? Labda yeye ndo alishauri mwaliko uwe hivo ili TEC iendelee kuheshimiwa na kutoonekana walibugi kiharakati?Mungu ana njia njema zaidi.Angeondoka kwa ghafla ingetafsiriwa vinginevyo.Afadhali aliendelea kuwepo na tumeyajua hadi ya uandishi wa kadi ya mwaliko wa hafla.
cc: walimu wote kuanzia darasa la tatu wapewe sampuli ya kadi kwa ufundishaji mahiri zaidi.