Pre GE2025 Mrisho Gambo: Naibu Waziri upo tayari kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,065
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amembana maswali mawili madogo ya nyongeza Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Mhe. Dk. Festo Dugange kama yopo tayari kujiuzulu endapo ujenzi wa stendi maeneo ya Bondeni City jimboni kwake hautaanza mpaka ifikapo Mei, 2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akijibu swali hilo bungeni jijini Dodoma leo Aprili 15, 2025, Mhe. Dugange alimhakikishia Gambo kuwa stendi hiyo itajengwa na kilichochelewesha ni taratibu za manunuzi kwani zabuni ilitangazwa wazabuni walipatikana lakini hawakukidhi vigezo.

 
porojo tu, unaulizwa uko tayari kujiuzuru kama unayo sema na kuamini hayatatimia

we unaongea meeeengiii la kujiuzuru unakwepa
 
Back
Top Bottom