Nimechukua kikapuchangu chenye rangi .kucha za bandia na vitu vya urembo kama vibanio vya nywele nikatokomea mtaani kwenda kutafuta Wateja
Niumbali wa km 1 toka napoishi hadi mtaa niliofikia eneo ambalo limetulia kuna mitimiti mingi sana nikakutana na mrembo mzuri sana gafla akanisimamisha na kuhitaji nimbandike kucha za bandi kisha ni mpake rangi kutokana na uzuri na sauti na macho ya kulembua nikajisemea moyoni huyu Dada lazima nifanye juu chini nimtongoze kisha nimgegede tu nimteme
Wakuu
Wakati najianda kuweka sawa vifaa vyangu ili nianze shughuli yangu nikamfutafuta miguu yake kutoa vumbi ,nikageuka pembeni kidogo kwenye kikapu changu kuchukua Polish nail ilekugeuka upande wa mrembo nakutana na kwato miguuni daah
gafla nashtuliwa anko anko amkaa uwende kazini kumbe nilikikua ndotoni .
Naukweli mm ni muuza urembo hapa nilipo naogapa hata kwenda kuzunguka , hii ndoto hisije kuwanikwelii
Matusi ,kejeli, karibuni