Mrema ataka wananchi wamkatae Mbatia kwa sababu ni Mgonjwa

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
753
1,812
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania labour party (TLP) taifa ,Agustino Mrema amemshtaki kwa wananchi mbunge wa Jimbo la vunjo James Mbatia kwamba ameshindwa kutekeleza ahadi alizoahidi ikiwemo swala la miundombinu na amekuwa haonekani bungeni kwa kipindi kirefu kupeleka kilio chao.
Aliwataka wananchi watathmini kauli aliyoitoa mbatia kuwa yeye ni mgonjwa na asichaguliwe ambapo Mrema alihoji ugonjwa unaomsumbua Mbatia na kumfanya asishiriki shughuli za maendeleo jimboni kwake na kudai kuwa Mbatia ndio mgonjwa na kuwataka wananchi wamkatae

 
Hatari sana....
 
huyu mrema kila cku jion nakutana nae anafnyishwa mazoezi sam nujima road ukimuangalia vizuri unaweza kujua ni wa leo au wa kesho
 
Kweli kichwa maji huyu mzee....
Inamaana mgonjwa haruhusiwi kuongoza kana kwamba hawezi kupona...

Wacha ajifie mwenyewe kama bado unahitaji jimbo subiri ajifie sio kutokwa povu...

Lyatonga wee like bashite we!!!
 
That is what we call ' castigating each other'
 
Sasa maisha yetu haya mtu unadiriki kweli kumsuta mtu masuala ya afya kweli ?!

Huu ni ulevi wa kisiasa!!! Mungu mwema wa mbinguni amsamehe bure.
 
Baba Lyatonga Mrema.... Wakati ukuta baba kubali tu yaishe
 
Mwenyekiti wa PAROLE bado anataka jimbo la Vunjo!?Mbona afya haijakaa vzr lkn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…