INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA
Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake
Junior
Insta USHAURI_mahusiano

Unajua inafikia mahali unaamua liwalo na liwe.
Kuna kipindi niliomba ushauri kuhusu ndoa na mume mlevi na mchelewa kurudi, na siku zingine anarudi saa 11 alfajiri , simu yake ina messeji za ajabu ajabu za wadada wahuni wanapanga appointment za kukutana na kugegedana , nimeumia sasa jamani nilikuwa silali usiku hadi huo muda anaorudi yuko hoi kwa pombe, nilikuwa na lia kila siku na kumuomba Mungu ambadilishe tuishi kwa amani, kwa swala la matumizi yani hana shida anatunza familia kwakweli kwa kila kitu. Sasa baada ya kuona hana mpango wa kubadilika nimeamua kwanza kabisa , kujitahidi kucontrol feelings zangu na kumuacha sigombani nae tena nasikuhizi ile tabia ya kukosa usingizi haipo nalala kwa raha zangu akirudi namfungulia anaingia ila sikuhizi mgegedo sitoi aendelee tu kugonga huko nje mie aniache nilee watoto akitaka kuhamia huko sawa tu maana siwezi kulazimisha mapenzi nimeamua kuconsatrate na kazi yangu, kusali na watoto wangu na nikitaka kuchill out nawatafuta marafiki zangu au co workers tunaenjoy narudi home happy yani sijistresishi tena, sex yenyewe ilikuwa ya shida sana sababu ya pombe yani labda mara moja kwa wiki mbili tena hapo ni shida tupu dakika mbili tu kamaliza na yuko hoi naachwa na kiu zangu yani bora nisipofanya nakuwa na amani zaidi kuliko anaponichokoza halafu asinifikishe popote huwa nakuwa na hasira sana , hayo ndio maisha yangu mapya huko mbele sijui itakuwaje Mungu mwenyewe ndo anajua.
Basi sawa