toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,716
Nakumbuka nilileta huu uzi hapa wa kuomba ushauri wa friji langu kujiwasha na kujizima
Msaada: Friji linajizima na kujiwasha, tatizo nini?
Mrejesho:Mlinishauri wengi humu ninunuwe stablizer hatimaye Nimenunua stablizer matatizo yote kwishaa sina la kusema kwa jinsi nilivyofurahi hapa,maana hadi juisi za mtoto na maziwa mansap alikua anaweka humo, tumepata adha sana maana ilikua inatugharimu mimi na mama mtoto wangu.... Nawashukuru sana wanabodi sijui kusingekua na JF maisha yangekuaje?Mungu awabariki sana

Wakuu nina friji langu aina ya HAIER nimelinunua miez 6 iliyopita nilikua nalitumia vizuri tu bila tatizo ila mgao wa UMEME ulipoanza basi umeme ukirudi linakua linachelewa kuwaka Linakua linawajiwasha na kujizima hivyo hivyo hadi baadae sana umeme ukishatengamaa ndo linajiwasha moja kwa moja...
www.jamiiforums.com