Mrejesho; Kati ya bajaj na trekta kipi kitega uchumi kizuri

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,154
5,634
Alhamndullillah,

Nilileta uzi wa kuomba ushauri humu, kipi kitega uchumi kizuri kati ya bajaj na trekta.

Wadau walitoa maoni yao, kila mmoja alishauri kwa namna alivyoelewa, ila wengi walinishauri nichukue bajaj.

Wakuu nawashukuru sana kwa maoni yenu kwani nyie ni watu wa nguvu sana, Mungu aendelee kuwalinda.

Ngoja niendelee kufanya upembuzi yakinifu upande wa trekta, ikiwezekana soon nitachukua.

Bajaj nimeichukua kwa bei ya milion 8 na point hivi, mtaa wa Msimbazi Kariakoo karibu na msikiti wa Makonde.
20231223_165714.jpg
20231223_171616.jpg
 
Back
Top Bottom