Rollin riy
Member
- Aug 14, 2015
- 64
- 228
Habar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale.
Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa nilisoma maoni ya wadau mbali mbali kwa kweli niseme kile nilichokua nawaza kichwani kumfanyia hakika Kingeweza kuleta madhara makubwa ulemavu wa kudumu au kifo.
Sasa nilichokifanya baada ya kusoma maoni hapa nili cancel safari ya kwenda dar nikaamua kubaki Dodoma ili nijipe muda wa kuwaza na kutafakari vizuri na kuituliza hasira yangu..
Baada ya kukaa na kutafakari kwa kina niliona hakuna sababu ya kumpiga au kufanya fujo yoyote juu yake.
Niliamua ntamuacha aendelee na maisha yake na mm niendelee na maisha yangu..
Na tangu jumatano nipo dar na nilimuita nyumbani na nikamuuliza japo alibisha nilimbana sanaaa mpaka akaeleza ukweli wote.
Ukweli ni kwamba alinisaliti, nilimueleza siwez kuendelea nae tena lkn muda wote niliokua naongea nae nilibadilika sura ilabadilika kifua kikatuna kwa hasira ila kwa vile tiari nilikua nishosoma maoni mengi ya wadau hapa sikumpiga hata kibao ..
Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka.
Alikua mgumu kuondoka na ilikua ni mida ya saa tatu usiku , kwa jinsi nilivokua nimechukia hakuwah kuniona katika hali kama hiyo ya kukasirika kiasi kile, nilimuambia nakupa lisaa limoja nikirudi nikikukuta humu ndani kichwa chako kitakua ni halali yangu.. nikaondoka nikaenda sehem nikakaa sikutaka kutumia kilevi chochote nilikunywa maji tuu saa sita usiku nilirudi sikumkuta.
Japo tangu juzi nimekua nikitafutwa na ndugu zake na marafiki zake sijapokea simu zao sababu sina mpango wa kumsamehe.
Naamini Mungu atanipa wangu sahihi kwa wakati Muafaka.
Wanawake nawasihi usaliti sio kitu kizur wanaume huwa hatuna roho ya kumsamehe msaliti. Ukiamua kusaliti Linda heshima ya mtu wako fanyia mbali uovo wako ila za mwizi ni arobaini..
Asanteni sana kwa ushauri wenu hakika pengine sa hii ningekua jela.
Ila omba yasikukute kusalitiwa na mchumba inauma sana.