Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.
DIAMOND PLATINUMZ AT BET AWARDS 2016
 

Diamomd Platnumz ndio baba lao, hakunaga kama yeye. Itakuwa vizuri pia kuona wengine wanafikia au hata kuzidi, alipofika na anapozidi kwenda kwa baraka za Mungu.

Love mingi kwa Diamond jamani, inabidi nionane na huyu kaka maana naanza kukosa usingizi kila nikimuwaza mume wa Zari, anipe hug tu itanitosheleza kujisikia raha kama mshabiki wake na mpenda maendeleo mie mtoto wa kike.
 


Kiba mwenyewe anasema Dully ndio kamtoa...anasema dully alimsikia anaimba hom kwao akamchukua mpaka sound crafter temeke kurekodi...
 
Kiba mwenyewe anasema Dully ndio kamtoa...anasema dully alimsikia anaimba hom kwao akamchukua mpaka sound crafter temeke kurekodi...
Na Dully Anasema Alikua Hajui Kama AliKiba Anajua Kuimba Mpaka Alipomsikia Huko Kariakoo. Dully Anasema Alikua Anajua Kuwa AliKiba Ni Mcheza Soka Tu Hatari Mitaa Ya Huko Kwao Kariakoo Na Sio Muimbaji.
 
Bangi, pombe, madawa na starehe zote ndio wasanii huzungumzia pindi waulizwapo sababu za kushuka kisanii..
Hivi vitu sioni kama kuna haja ya kuvipa lawama..unvyovitumia hakuna mtu anakutishia maisha yako kwamba ni lazima utumie...ni naamuzi ya mtu binafsi..uchafu wa mwilini mwako tafuta sabuni oga utakate
 
Yaani blue tangia alipo tafuta kiki kupitia nguli Sungu huyu jamaa nilimtoa maanani kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…