Ngoja nikisikilize kwanza
Kutakuwa na promosheni tuWanagawa pesa?
Kutakuwa na promosheni tu
for sure uongozi ujipange maana atawaingiza matatizoni muda sio mrefu....ndio madhara ya kuokota watu barabarani hawajui utangazaji...amezidi kwa pumba aisee daah..! alafu anataka aongee yeye tu mpaka naona kama kipindi kinavurugika na kinakosa muelekeo, hata huwezi kujua nani ni kiongozi na nani ni co hosts wa kipindi, ebu mpangeni huyo mpoki bado hajielewi anadhani redio ni sawa na comedy show....
Ukishiriki utakonda.Wivu ni kidonda