Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa.
1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali
2. Vipato vyao havitegemei serikali
Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake inatokana na sadaka na makanisa ya nje yanayo mpa pesa. Ameshaweka pesa za kutosha nje na kila siku anapata pesa zaidi na zaidi. Kwanza siku hizi ndiyo anaficha pesa kuliko hata zamani. Mpina ana makampuni ya kusafisha pamba makubwa. Hawa wawili sitashangaa wakiondoka CCM! Kikubwa ni lini?
Nawashauri watasaidia zaidi nchi upande wa wapinzani kuliko huko kwa wapigaji