Hana akili huyo!Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Hujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mamboKwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Subiri Mdahalo ndio utajua 0÷1 ni namba fulani kubwa sana 😂😂Kwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Wewe na yeye wote akili moja .Hujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo
Pato la Taifa ni tsh trillion 141Wewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Acha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyoWewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
hana akili huyo bajeti ya trilioni 40 ya Serikali inamjulisha na utarijiri wa rasilimali za madini? magogo? samaki? mikataba inayoingiwa? jinga sana hiloPato la Taifa ni tsh trillion 141
Mpina kasoma nini Bwashee?Acha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyo
Finance kama sikosei tafuta CV yakeMpina kasoma nini Bwashee?
Kupima Samaki na rula 😂😂😂😂
Mwigulu hawezi kukubali maana anajua uovu anaoufanyaMbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Tena kaomba mdahalo wa wazi kabisa, Mwigulu ni jangili kama majangili mengineAcha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyo
Na mimi nilimwelewa hivyo sasa wengine basi tuuHujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo
Atakujibu kweli?Pato la Taifa ni tsh trillion 141
Nenda kamsikilize vizuriWewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Trilioni 280!?.. seriously!!?..hela zilizopo kwenye uchumi wa tz ni kiasi gani!?Hujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo