Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
263
858
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.

Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30.

Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.

Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Hana akili huyo!
 
Wewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Acha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyo
 
Mpina kasoma nini Bwashee?

Kupima Samaki na rula 😂😂😂😂
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.

Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Mwigulu hawezi kukubali maana anajua uovu anaoufanya
 
Acha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyo
Tena kaomba mdahalo wa wazi kabisa, Mwigulu ni jangili kama majangili mengine
 
Mpina anatumia haki yake ya kutoshtakiwa anapokuwa bungeni Sasa jichanganyeni mtumie maneno yake kama reference.

Hayo maneno anayasema bungeni tu nje ya bunge hawezi kusema hayo. Hata mjinga hawezi kuamini katika trilion 35 zilizokusanywa eti trilion 30 zimepigwa ? Na hapo hapo Serikali ikaendelea na shughuli zake za kawaida?
 
Hayafiki si kwasababu ya upigaji??

Upatikanaji wa t28 sio kipimo halisi cha ukusanyaji.
 
Hujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo
Na mimi nilimwelewa hivyo sasa wengine basi tuu
 
Hujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo
Trilioni 280!?.. seriously!!?..hela zilizopo kwenye uchumi wa tz ni kiasi gani!?
 
Back
Top Bottom