Mpenzi wangu haamini yuko mwenyewe

Zoe_Princess

Member
Feb 5, 2017
94
89
Hi guys,

Rafiki yangu anafikiri siwezi kuwa na yeye tuu. Hasa ninapofanya vizuri kwenye 6*6
amenifanya nikapime. Ana truck muda wangu. Huwa anasaema 'Oh my God..such a beatifull girl like you. It cant be...'Ata nimemuonesha mimi ni wadini.. Haelewi..

Sijui nifanyaje..
 
Mwambie kama anataka kuwa mwenyewe afanye akuoe fasta... Lazivyo watu wakipanda dau, unang'oa nanga...
 
Na hiyo picha ndo wewe Zoe_Princess
 

NI_PM FASTA MKUU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…