Mpenzi wangu alinidanganya umri

cold water

JF-Expert Member
Oct 6, 2021
223
912
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
 
IMG-20240706-WA1200.jpg
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu jamani kumbe kanidanganya umri Mimi ni ke nimezaliwa 1994 yeye me kazaliwa 1998 nimegundua ili baada ya kuona cheti cha kuzaliwa nalia na mto wangu tu Leo chumbani,nimedanganywa!!!! Nimedanganywa jamani hiii!!!! hiii!!! Aaaah!!! Nalia Mimi mwezenu mwanaume nilimpenda sana nashindwa Ku move on yoyo Mimi jamani nifanyeje nimedanganywa....angalieni chati izi jamani yoyo!!!!!
Pole pole...ulitushirikisha before?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom