Gee23
Member
- Mar 25, 2023
- 29
- 38
Wanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.
Sifa zangu:
-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu
Sifa za mwanamke ninaemtafuta:
-Awe na umri usiopungua miaka 30.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.
Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, PM. Usi 'comment!'