Mpangaji wangu ana mshutumu mke wake kuwa natoka nae kimapenzi. Je, nimfukuze?

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
436
1,645
Wakuu salaam kwenu

Hapa nyumbani kwangu nimempangishia dogo flani ambaye mwanzo alikua anavusha sana mademu yani kwa siku anaweza kuja na mademu watatu tofauti

Maisha yakaendelea na tumeishi vizuri kwa muda mrefu sana hata ulipaji wake ulikua nzuri

Sasa hivi karibuni kaopoa single mother anaishi nae hapa. Mambo yakabadilika dogo kulipa ikawa shida ananiambia bro hali ngumu hapa nimezidiwa majukumu huyu mwanamke na mtoto wake jinsi ya kuwahudumia so nivumilie nitakulipa hela yako.

Miezi imeenda dogo namvumilia. Huyu dogo huwa anakuwa na ugomvi na huyo mke wake na mara kwa mara nawasuluhisha. Sasa hivi majuzi baada ya dogo kumzingua mke wake nikaitwa na dogo niwasuluhishe .

Ebhanaa eee mke kaanza kumsema bwana wake jinsi anavyomtuhumu huyo mke wake kwamba namtongoza sijui natembea nae.

Kiukweli nilimshangaa sana dogo kuwa na mawazo ya ovyo kiasi hicho wakati tumeishi vizuri kwa muda mrefu na ameleta mademu kibao kwenye chumba chake

Sasa nikajiuliza huyu dogo anvyomshtumu hivyo mke wake ana maana gani je amemchoka anatafuta sababu ya kumfukuza ( mara nyingi ananiambia hivi kamchoka) au sijui amekumbwa na nini hadi awe na mawazo kama haya

Maana mi sina ukaribu wala time na huyo single mother wake. Baada ya mke wake kutamka hivyo jamaa akakataa kwamba hajawahi ongea hivyo na akamshushia kipigo huyo demu wake.

Sasa kwa situation kama hii naona huyu dogo kanivunjia heshima nyumbani kwangu hapa najiandaa nimpe notes ahame aniachie chumba changu

Je nitakua nimekosea nikimtimua hapa ??? maana naona ana mambo ya kijinga nafikiria endapo kwa bahati mbaya maneno haya yangemfikia mke wangu si angehatarisha ndoa yangu

Najiandaa kumfukuza kodi yake ikiisha mwezi huu.
 
Uandishi wako ni wa mtoto wa below 30 years, hii ni chai
 
Baba mwenye nyumba kitu kidogo hivyo unashindwa kufanya maamuzi!

Siku nyingine usiwe na mahusiano na mpangaji wako isipokua kwenze6 kuandikiana mkataba na wakati wa malipo
 
Wakuu salaam kwenu

Hapa nyumbani kwangu nimempangishia dogo flani ambaye mwanzo alikua anavusha sana mademu yani kwa siku anaweza kuja na mademu watatu tofauti

Maisha yakaendelea na tumeishi vizuri kwa muda mrefu sana hata ulipaji wake ulikua nzuri

Sasa hivi karibuni kaopoa single mother anaishi nae hapa. Mambo yakabadilika dogo kulipa ikawa shida ananiambia bro hali ngumu hapa nimezidiwa majukumu huyu mwanamke na mtoto wake jinsi ya kuwahudumia so nivumilie nitakulipa hela yako.

Miezi imeenda dogo namvumilia. Huyu dogo huwa anakuwa na ugomvi na huyo mke wake na mara kwa mara nawasuluhisha. Sasa hivi majuzi baada ya dogo kumzingua mke wake nikaitwa na dogo niwasuluhishe .

Ebhanaa eee mke kaanza kumsema bwana wake jinsi anavyomtuhumu huyo mke wake kwamba namtongoza sijui natembea nae.

Kiukweli nilimshangaa sana dogo kuwa na mawazo ya ovyo kiasi hicho wakati tumeishi vizuri kwa muda mrefu na ameleta mademu kibao kwenye chumba chake

Sasa nikajiuliza huyu dogo anvyomshtumu hivyo mke wake ana maana gani je amemchoka anatafuta sababu ya kumfukuza ( mara nyingi ananiambia hivi kamchoka) au sijui amekumbwa na nini hadi awe na mawazo kama haya

Maana mi sina ukaribu wala time na huyo single mother wake. Baada ya mke wake kutamka hivyo jamaa akakataa kwamba hajawahi ongea hivyo na akamshushia kipigo huyo demu wake.

Sasa kwa situation kama hii naona huyu dogo kanivunjia heshima nyumbani kwangu hapa najiandaa nimpe notes ahame aniachie chumba changu

Je nitakua nimekosea nikimtimua hapa ??? maana naona ana mambo ya kijinga nafikiria endapo kwa bahati mbaya maneno haya yangemfikia mke wangu si angehatarisha ndoa yangu

Najiandaa kumfukuza kodi yake ikiisha mwezi huu.
Acha uzinzi Mkuu, she is no longer single mother kama unavyomuita, ni Mke Wa mtu huyo.
 
Back
Top Bottom