Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,077
- 4,650
Kuna ile busara unaweza kutumia kumwambia mpangaji mwenzio na sikwenda kwa mwenye nyumba kutoa malalamiko eti nipewe notes nihame na ukiangalia umenikuta ktk hiyo nyumba, mkuu maisha hayapo hivyoKwanini usitafute aehemu maalum kwa ajili ya kufanyia shughuli zako? Maana hyo kero sidhani kama ungekuwa wewe ungeweza kuvumilia
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobil
Sumu gani wewe unafanya kazi wapi kama sio ubishoo tu 😅😅😅We ni chizi hata mm ningehama moshi ni sumu ule usijione mjanja
Huenda anafanya kazi serikalini, halafu mkuu unadhani moshi wenyewe moshi basi ila ndiyo hivyo walimwengu wakifanikiwa kuwa na level fulani ya maisha basi hujiona amefika wakati ukute huko kijijini kwao alikua analala kwenye zizi la ng'ombeSumu gani wewe unafanya kazi wapi kama sio ubishoo tu 😅😅😅
Ahasante mkuu ndiyo maishaPole Sana
Hawa ndo wale kijijini kwao nyumba za miti zinaanguka na hawana choo wanalala kwa majirani....huku dar wanavaa nguo zao dada zao zinawabana mapaja....Huenda anafanya kazi serikalini, halafu mkuu unadhani moshi wenyewe moshi basi ila ndiyo hivyo walimwengu wakifanikiwa kuwa na level fulani ya maisha basi hujiona amefika wakati ukute huko kijijini kwao alikua analala kwenye zizi la ng'ombe
Mkuu naomba unifundishe hio n
Kuchoma samakiMkuu naomba unifundishe hio kazi.
Yeye hana mkataba na mpangaji ana mkataba na mwenye nyumba.Kuna ile busara unaweza kutumia kumwambia mpangaji mwenzio na sikwenda kwa mwenye nyumba kutoa malalamiko eti nipewe notes nihame na ukiangalia umenikuta ktk hiyo nyumba, mkuu maisha hayapo hivyo
Kwa hiyo umekuja kumshtakia?Wakuu habari
Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera
Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi
kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga huwa wanakaanga samaki, wengine wanachoma vitumbua, wengine chapati wengine huuza ice cream ivyo yaani.
Sasa mimi kazi ninayofanya ninacheza na moto kwamaana hiyo kivyovyote moshi lazima uwepo sasa huu moshi ndiyo umekua tatizo kwa mpangaji mwenzangu na kupelekea kuhama nyumba.
Alipeleka malalamiko kwa mwenye nyumba ili nipewe notes nihame nakweli mama mwenye nyumba kwakua haishi pale aliamuru kodi ikiisha basi nifungashe virago niondoke
Ila kuna kibanda najenga na sijakimaliza hivyo nikamuomba anivumilie hadi mwakani ili nikiondoka basi niende kwangu ingawa aligoma kupokea ombi langu, mimi nilichofanya nikamlipa kodi nyingine kwa kufosi ingawa alitaka kunirudishia ila walikaa kama familia wakakubaliana nikae hadi apo muda utakapo fika nihame
Sasa mpangaji mwenzangu alivyosikia nimeongeza kodi, aisee leo naamka nakuta chumba kipo wazi hata kuniaga hajaniaga. Huyu kijana yeye ni mwalimu na anamke ukimuona ni Mpole ila ndani ni simba.
Hiyo ndiyo hali halisi wakuu, tujitahidi kupambana ili tuwe na kwetu lasivyo unaweza kuta unatolewa vyombo nje mchana kweupe kisa fulani ktk hiyo nyumba unamuharibia mazingira.