Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
17,579
31,137
Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora.

Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu.
TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao wanaguswa na shida zinazowapata Wananchi.

Ndio Mtu pekee halali usiku na mchana akifundisha watu kuhusu Namba ya kujikwamua kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Huku akiwatia moto kuwa haya wanayopitia ipo siku moja yataisha.

Hadi sasa yuko barabarani kila uchao akiendelea kuhubiri neno la Haki na uzima.

Kwake tundu Lissu mali na vyeo binafsi havina nafasi ikiwa Kundi Kubwa la Watanzania hawapati haki zao kama ambavyo Mikutano ya Makonda imethibitisha.

Tunaendelea kumwomba Mungu wa Mbinguni na Watanzania wote panapo Majaliwa Mungu atende miujiza atupatie huyu Mtumishi Mwaminifu awe kiongozi wetu.

Insha Allah.
 
20240410_001348.jpg


Sio mbowe?
 
Back
Top Bottom