Movie to watch : La la Land

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
18,905
38,885
Movie nimeiangalia zaidi ya mara Tano bila kupelekea mbele
Mwanzo nilifikili titanic ndio movie ya kali mapenzi yenye mwisho mbaya
Ila baada ya kuangalia hii la la land wanawake wote wana tamaa hadi wazungu

Ryan Gosling na Emma Stone wameua sana

Anyway kitambo sana humu jukwaani
Kama Kuna movie nyingine kama hii basi mtaniambia
 
Back
Top Bottom