Mourinho hana furaha united

Man Utd ni timu kubwa hayo makombe yako kibao kwenye makabati hadi hilo la jana kwa taarifa niliyopata ni kwamba wameamua wakalihifadhi kwenye kabati la Arsenal ambalo linaoneka empty hadi pale OT watakapoongeza ukubwa wa makabati yao. Ukiwa na timu iliyozoea kushinda ni tofauti na timu ambayo kushinda kwa ni suala geni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…