Mountain Dew na nguvu za kiume

michie

Member
Dec 5, 2015
52
46
Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?
 
Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?
Hakuna uhusiano wowote isipokuwa soda zote zina athari katika mwili, athari si nguvu za kiume tu kama unavofikilia maana vijana wa siku hizi mnawazaga ngono asubuhi mpaka usiku na mnaamka mnawaza ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…