Moto mkubwa wazuka Israel

gallow bird

JF-Expert Member
Aug 10, 2024
5,036
7,490
Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani
Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu

Israel panawaka kama bandari ya hudeida tu
=================
Police evacuated several central towns and motorists were forced to abandon their vehicles on Wednesday as a number of brush fires rapidly spread amid soaring temperatures and high winds.

Eshtaol, Beit Meir and Mesilat Zion were cleared of residents as a result of the blaze in the Beit Shemesh area, and police shut down Route 38, a key traffic artery from the area to Jerusalem.

The fire initially fire broke out close to Moshav Tarum near the central city. Strong winds whipped up the flames as teams fought the blaze on the ground with support from aircraft. Police asked the public to exercise caution and stay away from the affected areas.

A Fire and Rescue Authority spokesman told The Times of Israel that nine people were lightly injured as a result of the blazes, including seven firefighters and two civilians. There was smoke in the air across Jerusalem, apparently from the fire some 25 kilometers away, causing air quality levels to plummet.

Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani
Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu
Israel panawaka kama bandari ya hudeida tu

Wamepigiwa camp ya jeshi kule Haifa unambiwa maiti wanabebwa kama kondoo walio potea zizi.
 
Manina leo al Houth wamenifurahisha sana chombo kimeongezewa speed na milipuko Zaidi ya mmoja kwa chombo
Then kina netanyahu wanapata hasira wanaenda kulipua hosipital wananchi wanaohangaika (including women and children) then tunasikitika tena and the cycle goes on..

Mimi naimani hii mbungi ya middle east ingekua inatokea hapa bongoland, kusingekua na team palestine wala team israel.

Hivi vitu mnachukulia kama tamthilia
 
Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani
Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu
Israel panawaka kama bandari ya hudeida tu

Lete vichekesho vingine tucheke leo tupo na Allah
 
Back
Top Bottom