Miunda JF-Expert Member Aug 26, 2014 530 182 Jan 19, 2016 #1 Baadhi ya nyumba zikiiungua moto eneo la kiponda mji mkongwe, kuna taarifa lilifika fire car halina maji, na ilifika baada ya Masaa 2 Kweli ccm hapa kazi tu. Tunataka mabadiliko, maalim apewe nchi asafishe uwoza wa ccm Attachments 1453231917735.jpg 35 KB · Views: 41 1453231927290.jpg 47 KB · Views: 42 1453231939371.jpg 65.5 KB · Views: 33
Baadhi ya nyumba zikiiungua moto eneo la kiponda mji mkongwe, kuna taarifa lilifika fire car halina maji, na ilifika baada ya Masaa 2 Kweli ccm hapa kazi tu. Tunataka mabadiliko, maalim apewe nchi asafishe uwoza wa ccm
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,433 1,768 Jan 19, 2016 #2 CCM ndiyo wamewasha huo moto? Mwisho hata mkishindwa kuwapa mimba wake zenu mtasema ni CCM
mzushi JF-Expert Member Mar 9, 2012 3,094 4,251 Jan 19, 2016 #3 Naona mvua za rasharasha zimeanza Zanzibar .yetu macho na masikio
I ibanezafrica JF-Expert Member Oct 23, 2014 7,261 6,552 Jan 19, 2016 #4 Fire zetu zipo ki mazoea tu....hata hapa Dar nyumba ikianza ungua saa 10 jioni Bunju si itateketea tu?Kituo ni kimoja tu tikea uhuru na miji inakua fire haijitanui unategemea nini? Wanahitaji update ya hali ya juu
Fire zetu zipo ki mazoea tu....hata hapa Dar nyumba ikianza ungua saa 10 jioni Bunju si itateketea tu?Kituo ni kimoja tu tikea uhuru na miji inakua fire haijitanui unategemea nini? Wanahitaji update ya hali ya juu