Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Bashite anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
Sasa Bashite hatujamkuta na vyeti halali wala feki, kwa kifupi Bashite anatakiwa awe jela.Si kakutwa na vyeti feki au!?
Nyie mnaomsema Mhe. Makonda vyake mnavyodai ni feki mlimuona ana vyeti feki!? Acheni majungu, hivi mnapiga kelele mmeshaambiwa udaku hausikilizwi na wanaojua ukweli wa mambo, sasa nini tena. Kaeni mlie tu, hapa kazi tu
Mtanyooka tu
Makonda oyeeeee
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
Sasa Bashite hatujamkuta na vyeti halali wala feki, kwa kifupi Bashite anatakiwa awe jela.
DAB ni mteule wa Mkulu,Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
Vyeti vinapatikana kwa kusoma darasani,Mimi sielewi. Pia wanajamvi naomba mnisaidie. Nashindwa kuunganisha mahusiano kati ya kazi za TAKUKURU na vyeti feki. Mbona siioni rushwa katika hivyo vyeti feki? Hivi TAKUKURU wanahusika vipi na vyeti vya taaluma? Wasiwasi wangu mwisho wa siku utaona kesi itakavyoishia kwa kumtakatisha muhusika.
We watch you,tukikubamba!!!!???BASHITE ni mke wa Kipara ana thamani kuliko Janeth