Pre GE2025 Moshi: Diwani wa Boma Mbuzi atoa sapoti ya magari 10 kwa wanawake ili washiriki kwenye Siku ya Wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
2,093
5,587
Wakuu,

Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa.

Hii ni rushwa au zawadi?

=====================================================

Meya Mstaafu wa Manispaa ya Moshi na Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi Juma raibu, ametoa sapoti ya magari 10 kusaidia wanawake kufika Jijini Arusha kushiriki siku ya wanawake Duniani.


 
Back
Top Bottom