A
Anonymous
Guest
Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini ya hapo yanakatika yanakuja kutoka tena ijumaa ya wiki nyingine. Huu ni uonevu.
Mwezi mmoja uliopita maji yalikuwa yanatoka mara mbili Alhamisi jioni kuanzia saa tatu usiku mpaka Ijumaa saa saba mchana ndo yanakatika, lakini sasa hivi anayefungua maji katubadilishia ratiba na kila ukimuuliza kuhusu kufungua Alhamisi anasema subiri zamu yenu ya Ijumaa kitu ambacho ni uonevu
Mbona upande mwingine wanapata maji mara mbili au tatu kwa siku kwanini kwetu iwe hivi!!?
Tunaomba mkurugenzi wa Moruwasa ashughulikie hili suala wananchi wa Kigamboni karibu na shule ya Msingi Tubuyu tunateseka, tunataka zamu yetu ya Alhamisi irudi.