Uwe unajiongeza basi kwenye ugomvi wa wakulima na wafugaji hakuna itikadi za vyama vya siasa Serikali imeshindwa kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima ndo maana yanatokea matukio kama haya yanatakiwa kudhibitiwa.Ccm vs ukawa huko umeingia hadi Kwa wafugaji kuchukia wakulima CCm! Hapo hadi kijani ishinde 2020
Hii Serikali ndiyo Serikali inayoonekana imeshindwa kabisa kukabiliana na tatizo hili la wakulima na wafugaji
Na bora hata mifugo utachinja upate kitoweo au utauza upate pesa,wafugaji wilaya ya Kilosa ni mizigo isiyobebeka, wanaingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima kibabe huku wamejiandaa kuwadhuru watakaojaribu kuwatoa.Prof Jay ana kazi kubwa sana kuiongoza mifugo inayofuga mifugo menzao. Kuna watu huwezi watofautisha na mifugo hata kwa zero percent.
Pole yenu Mikumi
Chadema mnafanya kazi gani sasa??
Prof Jay ana kazi kubwa sana kuiongoza mifugo inayofuga mifugo menzao. Kuna watu huwezi watofautisha na mifugo hata kwa zero percent.
Pole yenu Mikumi
sema serikali inafanya kazi gani acha kujitoa ufahamu,pale kuna kamati ya ulinzi na usalama kuanzia ngazi ya kijiji hadi mkoa,mamlaka hayo yamo mikononi mwa chama dolaChadema mnafanya kazi gani sasa??