kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 1,920
- 3,620
Nimempa kila kitu unachokijua mkuuNikianza na hapa mkuu uliposema
"Wakuu mnisamehe Sana make ndo nimegundua mwanamke hapendwi"
Hivi kweli hiyo sentensi yako ya mwisho umemaanisha au ni hasira tu!
Nakukumbusha tu hata huyo mzazi wako ambae si baba yako nae ni mwanamke, je nae humpendi??
Hawa wanawake wanatokea kutuvuruga sana mpaka tunahisi dunia yote imejazwa na MADEMU tu.
Kumbe kuna mama, shangazi, Dada na wengineo ambao huthubutu wewe km wewe kuwaita mademu.
Mkuu mtimizie huyo Mooren wako yale Mahitaji anayokuomba km ukiyompa zamani.
Pia utambue kibogoyo mvuta ugoro akiwa na pesa bado kwenye mapenzi ataambiwa mate yake yananukia kama chocolate. Tutafute pesa tu mkuu
Hapa sijakuelewaKhaaaa huyu sio. Huyo.anayelalamikiwa kurudi kundini ma mkewe wa ndoa?
Kazaneni muda bado unawaruhusu
Tafuta humu jukwaan kuna uzi unakuzungumzia kimtindo
Kumbe huyo ni sawa na wale ambao hutoa zawadi kwa fundi gereji na akakuvimbia wewe uliyemnunulia gari!
Nipe linkTafuta humu jukwaan kuna uzi unakuzungumzia kimtindo
Kila nikiamua kumpotezeaKumbe huyo ni sawa na wale ambao hutoa zawadi kwa fundi gereji na akakuvimbia wewe uliyemnunulia gari!
Pole sana mkuu wanawake wapo wengi, achana na visasi.
Tuishi nao kwa akili,tena akili nyingi nyingi.
Hiyo ya moreen wako: Nasikia unaoa ila lijue hili si poa
Anarudi Analia, Anatia Huruma!!😀😁
Asante kwa ushauri mzuriTaratibu Mkuu
Najua Leo Ni Siku Njema Kwako Mambo Mengi Sana Upande Wako Yanakwenda Burdan!!!!
Jitahidi Sana Uepuke Matatizo, Huyo Dada Mwache Aende Zake Usimfanye Lolote Anaweza Kukutia Kwenye Shida!!
Mahusiano Siku Hizi Ni Magumu Sana Kama Kuomba Kazi Vile