Baada ya kuzuia matumizi ya anga kwa ndege za kijeshi za DRC, badae M23 ilisema hata UN hairuhusiwi kutumia uwanja huo wa Goma.
Taarifa ziliwafikia viongozi wa Umoja wa mataifa kwenye kikao cha dharula huko New York, na kutangaza kwamba wamezingilwa na uwanja hautumiki.
Uwanja huo uliopo mpakani mwa Rwanda na Congo. UN imeiomba Rwanda kupokea wanajeshi wake na vifaa vyao, na moja kwa moja wengi wao wakaanza kuelekea Rwanda, huku wakiacha SAMIDRC, Burundi, FARDC na Wazalendo nyuma.
Taarifa zinadai mpaka sasa, Afrika kusini imepoteza tena wanajeshi wengine, huku magari yao ya kivita yakiharibiwa vibaya na M23.