Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,084
722
Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa Victoria linalounganisha jiji la Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na nchi jirani kama Uganda, Rwanda na Burundi.

Mradi huu umefikia asilimia 90% kukamilika na haya ni mambo matano unayotakiwa kujua kuhusiana na daraja hilo.

#SamiaApp
#KaziIndelee

 
Mama yupo kazini...miradi inaendelea. Hana wivu wa kijnga wa kusimamisha miradi ya mtangulizi wake na kulitia hasara taifa.
 
Back
Top Bottom