Tatizo ni visasi; na inapokuwa visasi hivi vinapata justification kutoka kwenye mistari vita na mauwaji yanakuwa hayaishi. Mnaishi kama wanyama; mwenye nguvu atamuua mdogo au mnyonge alimradi damu zimemwagika ndio furaha yao huku wamejiegemeza kwenye dini. Wamejawa na viburi na dharau za ajabu sana kila siku milipuko na suicide kwa kisingizio cha dini.
Wakiharibu kwao wenye nguvu hukimbilia mataifa mengine ili wakaharibu na huko. Ndio maisha yao, ndivyo walivyofundishwa na kulelewa - chukia, nuna, uwa! Upendo, msamaha, kujishusha mwiko. Katika mazingira hayo unategemea nini?