Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
713
762
Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada ya kupata unga wake anza doze ya kulamba asubuhi, mchana na jioni kila siku kwa muda wa miezi 3, ikiisha uliyotengeneza tengeneza nyingine. Utakuwa umepona nipigie na unipe mrejesho na ahsante 0622723082 Mungu awe nawe
 
Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada ya kupata unga wake anza doze ya kulamba asubuhi, mchana na jioni kila siku kwa muda wa miezi 3, ikiisha uliyotengeneza tengeneza nyingine. Utakuwa umepona nipigie na unipe mrejesho na ahsante 0622723082 Mungu awe nawe
Kwahiyo utumbo unauchoma hivi hivi bila kuondoa "Salio".?
 
UGONJWA WA SELIMUNDU. SICKLE CELL DISEASE.

Selimundu ni nini? (What are sickle cells?)
Seli nyekundu za damu zinabeba oksijeni mwilini. Seli nyekundu za damu za kawaida ni za mviringo na laini
na zinatiririka kirahisi ndani kwenye mabomba / mishipa ya damu. Zina umbo la mviringo kama hivi: Watu wengine wana seli nyekundu za damu ambazo ni ngumu na zenye nukta, na umbo la mundu au la
hilali: Seli zenye umbo la mundu zinaweza kufungwa pamoja na kuziba mabomba / mishipa midogo ya damu kama mtu
anaumwa, anakuwa baridi sana, au anapoteza maji.

Wakati mabomba ya damu yanaziba oksijeni kidogo
zaidi hufikia sehumu ile ya mwili. Mabomba ya damu yaliyozibwa yanaweza kusababisha maumivu, ambukizo na hasara ya viungo vya mwili. Hii inakuwa shida kubwa kama mapafu au ubongo ukiathirika.

Urithi wa selimundu na ugonjwa wa selimundu (Sickle cell trait and sickle cell disease)

Mwelekeo kuwa na seli zenye umbo la mundu unarithiwa kutoka wazazi kwenda watoto, kwa njia sawa na ile ya umbo la kiwili linavyorithiwa.

Watu wenye seli nyekundu za damu zenye umbo la mviringo pamoja na zenye umbo la mundu zote wana urithi wa selimundu. Wana afya nzuri
Watu wenye seli nyekundu za damu zenye umbo la mundu pekee wana ugonjwa wa selimundu. Wanaweza
kuwa na shida na afya yao.

Wakati wazazi wote wawili wana urithi wa selimundu watoto wao wanaweza kuwa na:
Seli nyekundu za damu za mviringo za kawaida, au
Urithi wa selimundu (na seli nyekundu za damu zenye umbo la mviringo na la mundu), au
Ugonjwa wa selimundu (na seli nyekundu za damu zenye umbo la mundu).

Ugonjwa wa selimundu unatambuliwa jinsi gani?
(How is sickle cell disease diagnosed?):

Kipimo cha rahisi cha damu kinaweza kukuonyesha kama una ugonjwa wa selimundu au urithi wa selimundu.

Shida za afya zinazohusika na ugonjwa wa selimundu ni ngani?
(What are the health problems associated with sickle cell disease?):

Shida za afya zinazohusika na ugonjwa wa selimundu ni pamoja na:
Anemia, yaani mtu anapauka, anajisikia mdhaifu, na anaweza kuwa na moyo unaopiga upesi zaidi kuliko kawaida.

Homa ya nyogo ya manjano, yanapokuwepo rangi ya manjano kwenye ngozi na sehemu rangi nyeupe ya
macho na labda maumivu ya tumbo . Maumivu, kwa kawaida katika mikono, miguu, kifua na tumboni

Maumivu ya kifua, kukohoa na ugumu wa kupumua
Maambukizo ya mara kwa mara
Kupoteza hamu ya kula na kushindwa kukua na kufanikiwa
Kusimika dhakari chenye maumivu kunatokea hata na wavulana wadogo na kuendelea kwa muda mrefu

Ugumu wa kuona
Kichwa kuumwa, kifafa (shtuko la moyo), udhaifu wa mikono na miguu, shida ya kusema, kuinama uso na kupoteza fahamu kama mtiririko wa oksijeni kwenda kwenye ubongo unapunguza.
April 2011

Ugonjwa wa selimundu unasimamishwa jinsi gani?
(How is sickle cell disease managed?)

Hakuna kuponya kwa ugonjwa wa selimundu, na matibabu yanaendelea kwa maisha mzima. Watu wenye ugonjwa
wa selimundu wanaweza kuhitaji kutumia dawa kila siku, hata wakati wanapokuwa na afya njema.

Matibabu yanaweza kuwa pamoja na:
Chanjo kuzuia magonjwa fulani
Dawa za kiua vijasumu kuzuia maambukizo
Chachu cha chanua kuboresha utengenezaji wa seli nyekundu za damu.

Kutunza mtu mwenye ugonjwa wa selimundu
(Caring for a person with sickle cell disease)
Watu wenye ugonjwa wa selimundu hujisikia vizuri zaidi kama wakifanya:
kuepuka kuwa baridi mno au joto mno kunywa maji mengi – lenga kunywa gilasi 8 ya maji kila siku kula chakula cha lishe bora pumzika vizuri na pata usingizi mwingi, nenda kwa miadi ya kumuona daktari mara kwa mara.

Watu wazima wenye ugonjwa wa selimundu wanaweza kuboresha afya yao kama wakifanya:
kuweka mpaka wa kiasi cha kunywa pombe, acha kuvuta sigara, zungumza na daktari wako kama ukipanga kuwa na mimba.

Nenda kwa Idara ya Dharura kwa hali hizo (When to go to the Emergency Department)
Watu wenye ugonjwa wa selimundu wachukiliwa kwenda Idara ya Dharura ya hospitali ya karibu zaidi wakiwa
na:
Homa kali (halijoto ya Selisilasi 38° au juu zaidi), Homa ya myongo ya manjano (ngozi na macho yanakuwa manjano)
Kukwajuka kwa ghafla (angalia vitanga vya mikono)
Udhaifu au kushindwa kusogeza sehemu za mwili (kama mkono au mguu) Shida ya kutembea
Tabia ya ajabu au kuchanganyikiwa
Kupoteza fahamu au kifafa (shtuko la moyo)
Kuhararisha au kutapika
Maumivu ya kifua au shida ya kupumua Maumivu makali pamoja na kusimika dhakari chenye maumivu kwa wanaume
Badiliko la ghafla la kuona
Unapofika hospitalini waambie wafanyakazi kwamba mtu ana ugonjwa wa selimundu
Maelezo zaidi yanapatikana kwa (Further information is available from) www.mhcs.health.nsw.gov.au
 
Back
Top Bottom