Mobdro App casting to HDTV

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,205
Nimependa hii app ya Mobdro ambayo inakuwezesha kuona channel za tv kwenye simu zikiwemo dstv, discovery, movies, Nat Geo, sports na kadhalika. Hivi inawezekana kutazama channel hizi kwenye tv (HDTV )kupitia ezcast au chromecast dongle? Msaada wazoefu.
 
inawezekana tu
 
Kwa iPhone vp boss??
smartphone zote za sasa iwe android, iphone (ios) au windows phone zinasuport DLNA hivyo kama una dongle ya dnla au kifaa chako kama deki au Tv kinayo utaweza kustream media zako. lakini weakness ya DLNA ni kwamba inastream tu media vitu kama video na audio haistream kifaa kizima.
 
Mobdro ni nzuri lakini umemaanisha nini kusema zikiwemo dstv?
 
ezcast ni miracast? unatumia simu gani?

maana hizi technology zipo nyingi na kila tech ina feature zake tofauti.
ezcast supports dlna na miracast. Mobdro has a cast button hivo I was wondering kati ya ezcast dongle na chromecast dongle ipi inafaa zaidi ku cast content to HDTV.
 
ezcast supports dlna na miracast. Mobdro has a cast button hivo I was wondering kati ya ezcast dongle na chromecast dongle ipi inafaa zaidi ku cast content to HDTV.
kama ina cast mara nyingi ni dlna, chomeka ezcast yako halafu switch upande wa dlna kutakuwa na username na password cheki kwenye simu yako upande wa wifi utaona kuna network mpya connect hio network then eka password unayoiona kwenye tv, itakua connected then nenda kwenye mobdro halafu cast nafkiri itaonyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…