General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,056
Wakuu habari.
Nikiwa mkazi wa Kibamba nasikitika sana kutosikia sauti ya mbunge wangu wa kibamba John Mnyika.
Sijaweza hatamuona ndani ya bunge, au hata kusikia kachangia chochote bungeni.
Tukiachilia hayo pia sijapata kusikia sauti yake nje bunge yani hata kwenye chama chetu.
Naomba mwenye taarifa sahihi za kijana huyu atufahamishe tafadhali
Wako wabunge 378 labda hajapata nafasi, mbona wale wa upande wa pili hutupi mrejesho
Kaachana na mwanamke aliyekuwa anaishi naye, atakuwa na stress za kuachwa achwa. Maana huyu ni wa tano sasa anaondoka na wote wana watoto.
Tarifa toka kwa wanawake zake wanasema jamaa hajiwezi kabisa kwahiyo hawezi kuwafikisha hata round moja pole yake anaendelea kuisoma.Kaachana na mwanamke aliyekuwa anaishi naye, atakuwa na stress za kuachwa achwa. Maana huyu ni wa tano sasa anaondoka na wote wana watoto.
Bunge lililopita mh Mnyika ndo mbunge aliyeongoza kwa michango mingi ndo maana watu wanataka kujua kwani kuna ubaya gani?
Wewe ulikuwa mke wa ngapi? Na alikuzalisha watoto wangap?
Mi mwenyewe nilishangaa jana wakati Bulaya alipouliza swali la nyongeza bungeni kwa niaba ya Mnyika. Nadhani kuna tatizo.Mimi ni wa tatu, nina mtoto mmoja.
Bunge lililopita mh Mnyika ndo mbunge aliyeongoza kwa michango mingi
Mi mwenyewe nilishangaa jana wakati Bulaya alipouliza swali la nyongeza bungeni kwa niaba ya Mnyika. Nadhani kuna tatizo.