LGE2024 Mnyika ahoji kauli ya Mchengerwa ya kushirikisha Jeshi la Polisi kwenye Uandikishaji wa Wapiga Kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
1,193
3,247
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, kuhusisha Jeshi la Polisi katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Soma pia:

Mnyika amehoji uhalali wa hatua hiyo, akieleza kuwa jukumu la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kuwa chini ya tume huru na si vyombo vya usalama, ili kuhakikisha uwazi na haki katika mchakato huo.



Source: Jambo TV
 
Back
Top Bottom