Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,261
- 13,191
Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh.
Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu.
Makonda anaweza kumnyamazisha nani huyu, hana audacity ya kunyoosha kidole kwa wazee, pia anawaita wajumbe wa kamati kuu ya CCM kuwa ni Chura? Wajumbe wa NEC halmashauri kuu kuwa ni Chura?
Makonda ajipange tutapambana nae kwa kadri ya upumbavu wake, CCM ya namna hii ya kuwa na mwenezi bwege na Lopolopo imepitwa na wakati.
Tulikuwepo na tutakuwepo hatuwezi kukubali ujinga kupitia jina CCM hiki chama sio cha wajinga na wanunua vyeti.
Comments free from above and under the surface.
Wadiz