GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,084
- 119,749
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau?
Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa Kienyeji Mkoani Tanga ambaye alimpeleka baada ya Fainali ya Mechi ya Community Shield ili akamtibu na amuague.
GENTAMYCINE nikisema namaanisha.