Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
dah umemjibu vizur sana hyo mburula anaefikiri maisha.ya kwao sawa na watanzania wote..Ulaaniwe kwa kuwa mpumbavu wa makusudi,maana ni heri mjinga kuliko mpumambavu.
Hivi umewahi kulala na njaa mpaka siku 2 au 3 kwakukosa chakula ndani?.Mimi nimewahi kukosa mpaka hiyo mia 2 ya kununulia skonzi siwezi wadhihaki watu hivyo ingawa kwasasa suala la chakula si tatizo tena kwangu kwakuwa nauza vyakula mimi mwenyewe.
Hivi wewe una ubongo kweli wewe pumba tupu.Mnaolalamika njaa mseme ukweli ni kuwa, hamkulima chakula na pia hamna pesa za kununua chakula. Maana kama huku mjini wengine tushajizoelea tunakula mikate. Sijawahi kuona hata siku moja mikate ya Azam na ya makampuni mengine imekosekana dukani. Tena siku hizi ni raha tu kuna hivi vi skonzi vinauzwa kimoja mia. Kwa mwenzangu na mie kama sina hela hata nikiwa na mia mbili mfukoni sifi njaa. Nachemsha chai na viskonzi vyangu viwili, siku inakwenda.
duh wanaume tumejaa unalalaje njaa bibieUlaaniwe kwa kuwa mpumbavu wa makusudi,maana ni heri mjinga kuliko mpumambavu.
Hivi umewahi kulala na njaa mpaka siku 2 au 3 kwakukosa chakula ndani?.Mimi nimewahi kukosa mpaka hiyo mia 2 ya kununulia skonzi siwezi wadhihaki watu hivyo ingawa kwasasa suala la chakula si tatizo tena kwangu kwakuwa nauza vyakula mimi mwenyewe.
Usimlaumu sana huyu hakosi mia mbili kutoka shemeji yake ndo maana haelewi kwa nini kuna watu wanalala njaa.dah umemjibu vizur sana hyo mburula anaefikiri maisha.ya kwao sawa na watanzania wote..
Kosa ni letu. Kudhani kila mtu humu ni timamu.Sio lazima uanzishe thread leo weekend mambo mengi ya kufanya
Hahahaha if you fail to buy bread try cakeUmenikumbusha French revolution,