Mnaofanya kwenye NGOs, nini maana ya Transitional Track Partners?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
975
3,748
Wale mnaofanya kazi kwenye NGO naomba mnisaidie maana ya hii term "Transitional Track Partners".

Kuna sehemu nimeulizwa nikashindwa hata kufungua mdomo.

Hata google nimetazama siioni.
 
Wale mnaofanya kazi kwenye NGO naomba mnisaidie maana ya hii term "Transitional Track Partners".

Kuna sehemu nimeulizwa nikashindwa hata kufungua mdomo.

Hata google nimetazama siioni.
Nimetazama google tafisiri yake " washirika wa wimbo wa mpito"
 
Back
Top Bottom