Mnakumbuka Samia akiwa anatafutwa na viongozi wa kila nchi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
8,063
11,284
Sio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai imenona🤮.

Mama kachuja kwa tamaa zake
 
Huyu Mama yanaenda kumkuta ya Joyce Banda wa Malawi

Chuma Cha Liganga hakitamwacha salama!!!

Nipo paleee mtakuja niambia!!
 
Mama alifanikiwa kuwatapeli viongozi wengi Duniani. Sasa kila mahali amepuuzwa kwa kuwafanya waliomwamini hawakuwa na akili. Amebakia kusifiwa na matapeli, wahuni na machawa. Hao ndiyo limekuwa tegemeo lake. Matapeli, kama akina Mwaipopo, wameona kuwa hii ndiyo fursa ya kupiga hela ya mama.
 
Sio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai imenona🤮.

Mama kachuja kwa tamaa zake
Tuliza hayo makalio we bwege
 
Back
Top Bottom