Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,023
- 14,177
Habari zenu Wakuu,
Kuna kauzi kana trend hapa JF kanaitwa 'Kula tunda kimasihara', kiukweli ukikapitia kale kauzi utaona ni jinsi gani vijana wanavyojisifu kula wanawake malaya ambao wameshazoea kutoa k zao kwa kila mwanaume.
Kuna vijana wengine walinyonya mpaka sehemu za nyuma za hao malaya na wanajiona walipata bahati, kumbe walikutana na wanawake malaya ambao kutoa toa kwa kila mwanaume kwao ni kawaida.
Ukipitia ule uzi kuna vijana wengine wajinga zaidi wamekula hao wanawake malaya bila ya kupima wala kutumia kinga na wanajisifu na kujiona wameyapatia.
USHAURI: Vijana acheni kujisifia kula malaya, maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kujisifu kula malaya hadharani.
NB: Malaya hajali wewe kula K yake, kwahiyo jiepushe na magonjwa kwa kutaka sifa za kijinga mtandaoni.