mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nachukua nafasi hii Kwa huzuni Na masikitiko makubwa Kwa wananchi wa Jimbo la Mtera Kwa kupoteza muda fedha Na kura zenu kumchagua mbunge Mh.sana Bw.Livingstone Lusinde.Mbunge huyu amekuwa Na kauli zisizo za kistaraabu nakumbuka aliwahi kumdhihaki Mh.Zitto Kabwe wakati amefiwa Na mzazi wake.Jana wakati bunge linajadili bajeti nilitegemea Mbunge wenu angefikisha shida Na matatizo ya Mtera badala yake anatumia muda aliopewa kuzungumza upumbavu eti ametumwa Na wabunge wa chadema awasemee kuwa mbowe in dikteta.Je wananchi wa Mtera ndio mlichomtuma? Je ndio shida za jimbo lenu?Jamani kuwa Na wabunge aina ya Lusinde in janga la Tanzania.
1954 hebu badilika kidogo, hii ni 2016 mkuu. Wewe unadhani kulundikana mle ukumbini na kupiga makofi na kusema ndiooo kwa sauti kuu ndio uwakilishi wa wananchi?Unaweza ukawa na hoja...lakini ungezungumzia pia wabunge wa upinzani 'wanaoshinikizwa' kususia bunge na kuwanyima wananchi wao fursa ya uwakilishi bungeni...kwa maoni yangu ususiaji wa wabunge hao ndilo jambo baya kuliko kauli za Lusinde...Angalau Mhe. Lusinde anaongelea hayo Bungeni...Sasa hao wengine waliosusia wanaongelea wapi? Kwa hakika wabunge hao walosusia wanafanya jambo baya mno...
Kwani na kina Sugu wametumwa na wanambeya mjini kuporomosha mitusi bungeni..Acha umbea kila mbunge amechaguliwa na wananchi wa jimbo lake hivyo huna uhalali wa kuwasemea..wepi wanaopoteza fedha na muda?walio bungeni kuchangia hoja au wale wanaotoka kwa kumuogoma mwanamke dhaifu?Nachukua nafasi hii Kwa huzuni Na masikitiko makubwa Kwa wananchi wa Jimbo la Mtera Kwa kupoteza muda fedha Na kura zenu kumchagua mbunge Mh.sana Bw.Livingstone Lusinde.Mbunge huyu amekuwa Na kauli zisizo za kistaraabu nakumbuka aliwahi kumdhihaki Mh.Zitto Kabwe wakati amefiwa Na mzazi wake.Jana wakati bunge linajadili bajeti nilitegemea Mbunge wenu angefikisha shida Na matatizo ya Mtera badala yake anatumia muda aliopewa kuzungumza mambo mengine eti ametumwa Na wabunge wa CHADEMA awasemee kuwa Mbowe in dikteta.
Je wananchi wa Mtera ndio mlichomtuma? Je ndio shida za jimbo lenu?Jamani kuwa na wabunge aina ya Lusinde in janga la Tanzania.
Naunga hoja mkonoUkiona mbunge karudi term ya pili au zaid bungeni ujue alivyo ndivyo walivyo waliomchaguaUSIUMIZE AKILI YAKO MKUU mwembemdogo
Huo ugomvi na vurugu unazosema zinasababishwa na nini au na nani?Usisahau na Mbunge wa Arusha yeye kila jimbo lenye ugomvi na vurugu lazima lema awepo. Mara kahama,Iringa, Mara mwanza kwani sisi wakazi wa Arusha tulimchagua akatuwakilishe kwenye maandamano na mavurugu yanayotokea majimbo mengine wakati Arusha kuna masuala mengi ya msingi yanayotukabili wananchi wake.
Unaweza ukawa na hoja...lakini ungezungumzia pia wabunge wa upinzani 'wanaoshinikizwa' kususia bunge na kuwanyima wananchi wao fursa ya uwakilishi bungeni...kwa maoni yangu ususiaji wa wabunge hao ndilo jambo baya kuliko kauli za Lusinde...Angalau Mhe. Lusinde anaongelea hayo Bungeni...Sasa hao wengine waliosusia wanaongelea wapi? Kwa hakika wabunge hao walosusia wanafanya jambo baya mno...
Si huyu pekee TU kuna wale vijana wawili mmoja analialia Sanamu ya Diamond na Mwenzake analia eti Bunge lisionyeshwe Live is beyond un pontential now this people to the Family,Kitongoji,KIjiji,Kata,Wilaya,Mkoa,Kanda,Taifa na Kimatafa for sure.Nachukua nafasi hii Kwa huzuni Na masikitiko makubwa Kwa wananchi wa Jimbo la Mtera Kwa kupoteza muda fedha Na kura zenu kumchagua mbunge Mh.sana Bw.Livingstone Lusinde.Mbunge huyu amekuwa Na kauli zisizo za kistaraabu nakumbuka aliwahi kumdhihaki Mh.Zitto Kabwe wakati amefiwa Na mzazi wake.Jana wakati bunge linajadili bajeti nilitegemea Mbunge wenu angefikisha shida Na matatizo ya Mtera badala yake anatumia muda aliopewa kuzungumza mambo mengine eti ametumwa Na wabunge wa CHADEMA awasemee kuwa Mbowe in dikteta.