Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
2,316
6,842
Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu!

Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!

 Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda

KAOLE SANAA GROUP
 
Ina majina mengi ngoja mi nikupe mawili tu
1. Acapulco
2. Marijuana
Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu!

Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!

 Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda

KAOLE SANAA GROUP
 
Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!
Ngoja nifungue code kwa kuweka code:

1722564249154.png

1722564494610.png
 
Eti Abood atakosa biashara, kauli kama hii inatolewa na Mwenyekiti wa CCM huku akiamini hivyo anasahau kuwa few years back tuliaminishwa kuwa BRT na "treni ya mwakyembe" ya Ubungo -posta itamaliza tatizo la foleni Mjini hasa MOROGORO road.......wakaondoa Hadi vituo vya Daladala....... Leo hii hali ikoje???

Alijisemea Mama Professor Tibaijuka kuwa "kadiri unavyofanua ndivyo watu wanavyo....zaidi". Kwahio mwambieni Raisi awe na maono sio haya Mambo ya kufurahisha genge.
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Tupongeze kwa lipi?

Kutumia matrilioni ya pesa kujenga reli ya kubeba abiria?

Mpaka siku nitakapoona freight trains zinaanza kutumia mradi huo nitaona atleast kuna tija

Kwa sasa ni hasara tupu railway operation expenses exceeded revenues
 
Tupongeze kwa lipi?

Kutumia matrilioni ya pesa kujenga reli ya kubeba abiria?

Mpaka siku nitakapoona freight trains zinaanza kutumia mradi huo nitaoana atleast kuna tija

Kwa sasa ni hasara tupu railway operation expenses exceeded revenues
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?
 
Kupanga ni ku Cha ag

ua aisee...hata kama ni huduma...matrilioni yote haya! Halafu Hospitali zipo hoi!
 
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara
Ile SGR ya Mombasa-Nairobi kwa siku ina route 30 za freight trains na 4 tu kwa ajili ya abiria. Wana mpaka double stack freight trains

Hatuwezi kuwekeza trillions of money kwa ajili ya kusafirisha abiria tu.
 
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?
Hii nchi ina watu wajinga wenye roho mbaya wachawi wasiopenda maendeleo we ona hata baadhi ya mikoa isiyokuwa na maendeleo watu wake ni wachawi sana
Mtu amesoma lakin hapend maendeleo ni kwa sababu ameridhi roho mbaya na uchawi kwa baba na babu zake

Hao watu wapo tayari wakwamishe maendeleo sehemu fulani wengine waendelee kuteseka akiwepo yeye mwenyewe
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Kabisa,tena wenye mabasi nawaona
Ila tunaiombea uendelee kufanya vzr!
Watu Wana roho mbaya.

Mambo ya kukaa kwenye basi masaa 6-7 nani anataka sahivi
 
Hii nchi ina watu wajinga wenye roho mbaya wachawi wasiopenda maendeleo we ona hata baadhi ya mikoa isiyokuwa na maendeleo watu wake ni wachawi sana
Mtu amesoma lakin hapend maendeleo ni kwa sababu ameridhi roho mbaya na uchawi kwa baba na babu zake

Hao watu wapo tayari wakwamishe maendeleo sehemu fulani wengine waendelee kuteseka akiwepo yeye mwenyewe
Kweli kabisa
 
Eti Abood atakosa biashara, kauli kama hii inatolewa na Mwenyekiti wa CCM huku akiamini hivyo anasahau kuwa few years back tuliaminishwa kuwa BRT na "treni ya mwakyembe" ya Ubungo -posta itamaliza tatizo la foleni Mjini hasa MOROGORO road.......wakaondoa Hadi vituo vya Daladala....... Leo hii hali ikoje???

Alijisemea Mama Professor Tibaijuka kuwa "kadiri unavyofanua ndivyo watu wanavyo....zaidi". Kwahio mwambieni Raisi awe na maono sio haya Mambo ya kufurahisha genge.
Usiangalie miradi iliyofeli tu angalia na iliyofaulu hata hiyo BRT imepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana
 
Hata hizo changamoto za BRT sidhani kama serikali imeshindwa kabisa kuzitatua ninaamini ipo mikakati inafanyika kuweka mambo sawa
tatizo la mbongo anataka akiamka asbhi akute Kila kitu kinaenda smoothly utafikiri Yuko peponi .
 
It is an open secret ila kinachonishangaza pamoja na wahusika kufahamika bado mamlaka zetu zinawalea wahujumu kama hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom