Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,561
Habari wakuu, tusichoshane niende moja kwa moja kwenye hii kitu iliyoniacha kinywa wazi kiasi kwamba kama ni Corona basi ingepita bila kipingamizi!

Nilifika geita kutoka Dar katika harakati za kujipatia kipato halali kabisa! Nikawa nimefikia gesti moja hapo mjini katikati tu ya mji inaitwa Spice Lodge! Basi nikiondoka asubuhi narudi jioni,nilikuwa nikifika nalala moja kwa moja kutokana na uchovu!

Usiku mmoja nikiwa nimejipumzisha niliamshwa na malumbano ambapo kulikuwa na sauti ya mwanaume na mwanamke wakivutana!Kelele zilipozidi nilikasirika ikabidi nitoke ili nikalalamike kwa muhudumu kwanini hachukui hatua kwa kelele zilizokuwa zikiendelea!

Nikatoka chumbani kwangu ambapo ukitoka unakutana na uwazi maana vyumba vya nje vya lodge vilikuwa kama vimetengeneza mraba,nikakutana na wageni wengine waliokuwa wameamka kushuhudia tafrani hiyo ambapo pia na muhudumu alikuwepo akijaribu kutuliza kelele ili waelewane!Nikatulia kusikiliza nini kimejiri!

Kulikuwa kuna dada ambaye alikuwa amemshika mashati mwanaume,huyo dada akaanza kueleza,kisa kilikuwa ni kwamba walikuwa wameelewana na huyo mwanaume kuwa short time jamaa akale mzigo ni 15,000!Sasa walipofika ndani jamaa alinogewa akapiga bao mbili hivyo jamaa alitakiwa alipe 30,000!

Sasa njemba ikatoa elfu 15 badala ya 30 na ndipo mzozo ulipoanza!Jamaa naye kwenye utetezi wake akasema yeye alijua short time waliyoelewana ni ilimradi sio kulala,yaani hawakupangiana idadi ya mabao!Nilipofika hapo nilitamani kucheka japo nilikuwa na hasira za kukatiziwa usingizi wangu! Hapo nilikuwa kwa mbali kidogo kama mita 10, nikasogea zaidi!
Cha ajabu nikaona wageni wengine wakachangia kwamba kama ni hivyo jamaa anatakiwa aongeze kiasi kwani short time inajulikana ni bao moja!

Nilishangaa sana,hapo ndio nikajua nilichukua guest bubu,hivyo hata wale wageni wengine walikuwa pale kwa ajili ya huduma!Maana kwa mgeni kama mgeni hawezi kutoa mawazo kwa namna hiyo!

Basi wengi wakawa upande wa huyo dada,ikabidi jamaa kuepusha amtumie huyo dada 15 iliyobaki kwa mpesa! Ni wakati wa zoezi hilo ndio yule dada akachukua simu ili aone kama hela imeingia,si mwanga wa simu yake ukammulika maana kulikuwa na mwanga hafifu!Lahaulaaa kumuangalia si ni mpangaji mwenzangu tuliyepanga wote Dar! Nikabaki nimeduwaaa!

Kiufupi huyu dada sisi wapangaji wenzake tunamjua kama mfanyabiashara, na huwa akisafiri anatoboa mpaka miezi miwili!Ni binti mzuri kabisa kama miaka 28-32 hivi!Na huwa akirudi toka safari zake za kibiashara huwa anakuja na bidhaa kama vitenge na huwauzia au kuwakopesha majirani!

Anakaa si zaidi ya mwezi kisha anapotea tena safari za kibiashara!Pia huyu dada ana jamaa yake ambaye huwa akirudi anakuja pale tulipopanga!Kiukweli huyu dada huwa anaonekana mpambanaji mpaka wapangaji wengine wanaomba awafundishe biashara,na pesa anayo maana vaa yake tu inamuelezea!

Tuendelee,alipoconfirm hela imeingia,watu wakaanza kurudi vyumbani huku yeye akisonya na kusema yeye mtoto wa mjini hadhulumiwi hivi hivi!Kugeuka si akaniona nimemkodolea macho,alipigwa na ganzi kama mtu kaona mzimu vile!

Nilimsalimia lakini hakuitika,akaingia chumbani kwake nami nikazama huku nikijiapiza kesho yale natafuta sehemu nyingine ya kulala maana pale niliingia cha kike!

Kesho yake ilikuwa siku yangu ya mapumziko maana ilikuwa jumapili,nilipoamka nilienda kibarazani ambapo nilimkuta muhudumu!Ikabidi nimchukue maelezo, maana alikuwa msela kama mimi tu akaniambia huyo dada huwa anakuja na analipa chumba hadi mwezi mzima!

Anachokifanya akija na mwanaume,mwanume analipia chumba kisha baadaye yeye humrudishia huyo dada hiyo hela maana anakuwa ameshalipia!Pia akaongeza kuwa huyo dada kila siku kama sio mteja wa kulala basi hakosi vichwa walau vitatu,ni bandika bandua!

Baada ya kupata maelezo hayo nikaenda zangu kupata kifungua kinywa na kutafuta lodge nyingine iliyotulia!

Niliporejea nikamkuta yule dada pale kibarazani amekaa anajipaka rangi kucha!Nikamsalimu safari hii akaitika kisha akaniomba tuongee!Alinisihi sana nisiwaambie majirani kwani yuko kwenye utafuta na maisha kwake si rahisi!

Akasema ametafuta mtaji sana na amekaribia kufikisha lengo na akifikia hapo basi ataachana na shughuli hiyo ya ukahaba!Basi nikamwambia asijali na kuwa siri yake iko salama mikononi mwangu!Tukapiga story mbili tatu pale na katikati ya maongezi namimi nikaomba fair mchezo walau mara moja!

Asubuhi hiyo hiyo nikaenda kumtafuna!Baada ya tukio hilo nilihama ile lodge na kuendelea na shughuli zangu mpaka nilipomaliza!Kwasasa nimekuja kusalimia nyumbani kijijini,ila pia kutokana na Corona huko Dar naweza nisirudi kwasasa!Yeye aliniandikia ujumbe kuwa yuko Dar tayari na anafanya mpango wa kuhama pale maana hana amani moyoni mwake japo nilimhakikishia kuwa majirani hawawezi jua kupitia mimi!

Jamani sio kila king'aacho ni dhahabu!
 
Sasa mbona umetoa siri yake humu ?!. UnajuaJe kama hayumo humu ?. Si uungwana hivyo.

Halafu wewe ulitozwa ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama asingeomba angepewa kwa lazima kama rushwa ya kumnyamazisha. Kwakuwa nae jamaa alikuwa anamtamani kabla akaona nafasi ndio hiyo ya kutimiza lengo. Kwa kifupi WAMEKULANA KWA FAIDA BINAFSI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa wapangaji wasingeweza kutumia,maana akili zao ni mmoja na wanajuana.huyu jamaa siku nyingi alikuwa anamtolea mate huyu dada ila sema alikuwa anavumilia kichin chini...
Hilo ni kweli nilikuwa namtamani kitambo ila sikuuza mechi!Yaani mrejesho huo wote niliopewa na muhudumu halafu niende kavu,no way!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom