Natamani nianze kupenda movie hila nashindwa nawatamani watu wanaoangalia movie sanaMtandaon Netflix ipo ila mi nimeangalia jana
Kip kinakuzuia unatamani ila unashindwa kuanza kupenda?Natamani nianze kupenda movie hila nashindwa nawatamani watu wanaoangalia movie sana
Hiyo movie inahusishwa sana na tukio litakaloikumba dunia siku si nyingi sana likihusisha
kukatika kwa umeme,
kutokupata mtandao
na vurugu za wenyewe kwa wenyewe zitazotokana na hizo sababu mbili tajwa hapo juu
Hili tukio litadhibitisha pia ni namna gani dunia ipo controlled na hawa jamaa wa World Orders
Kama ambavyo waliamua corona ije na iondoke kama upepo, kama walivoamua vita vya Urusi na Ukraine na pia kama walivyoamua vita vya israel na Hamas
Lets wait and see
Nataka niidownload hapa. Are you sure sitokuwa disappointed?Nyie watu wapenzi wa movie aloangalie hii achambue ni kama inatisha hivii na ina code kibao hivi wachambuzi mkuje tuchambue hii movie sio mpira tu
View attachment 2874271
Hiyo inaeleweka..Kuna sehem yule jamaa mweusi kasema kuna group la watu linacontroll kila kitu hapa dunian
Done. Usiku nitaiangalia, nitaleta mrejesho. Ole wako uwe umeniingiza chaka 😎Yes ni nzuri
Usiwaze 👊Unipe mrejesho tu sawa
Sawa nishaichukua bado kuiangaliaNasubiria mrejesho
...kuna mengineyo mengi. Mfano. Stereotypical hili neno limenipita kwa kiswahili, lakini linamaanisha 'miundo isiyobadilika'👉kukatika kwa umeme,
👉 kutokupata mtandao
👉 na vurugu za wenyewe kwa wenyewe
Fastforward, nipo ndani ya mjengo wa wazungu. Kitu cha kwanza unaona jinsi ukuta ulivyo na ufa, na rangi ukutani imekua kama leya za keki!Stereotypical hili neno limenipita kwa kiswahili, lakini linamaanisha 'miundo isiyobadilika'