Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,870
- 3,210
Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba.
Rais Samia akaona isiwe tabu akamtoa na kumleta Biteko, basi sisi wananzengo tukajua kweli Makamba alikua anahujumu zimepita siku chache tuu tatizo la umeme limekuwa serious kuliko kawaida hadi CCM inalia
Ukweli ni kuwa tatizo la umeme ni scientific sio la kisiasa linahitaji suluhusho la uhakika sio brabra, fitina majungu nk
Sasa January sio tena Waziri wa Nishati basi muacheni, mbona kumsema mtu mkimya aliyebize na kazi zake, mbona kumsingizia kila siku
Jukumu la TANESCO liko kwa Biteko basi ajitahidi kupambana kuleta suluhisho
January sio tena waziri wa nishati muacheni aendelee na majukumu mengine aliyopewa na Rais wetu